Page 41 - Historiayatznamaadili
P. 41
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 9: Nyumba ya msonge iliyojengwa kwa miti na
kuezekwa kwa nyasi
Kielelezo namba 10, kinaonesha nyumba ya msonge iliyojengwa
kwa miti na kukandikwa tope chini na kuezekwa juu kwa miti
na nyasi.
Kielelezo namba 10: Nyumba ya msonge iliyojengwa kwa miti na
kukandikwa udongo na kuezekwa kwa miti na nyasi
34
06/11/2024 11:29:44
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 34
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 34 06/11/2024 11:29:44