Page 42 - Historiayatznamaadili
P. 42
Vilevile, kuna nyumba za msonge zilizojengwa kwa miti
iliyokandikwa kwa tope lililochanganywa na udongo kidogo
na kinyesi cha wanyama chini, na kuezekwa juu kwa majani.
Nyumba hizo zilijengwa na jamii za Wamasai. Kielelezo namba
FOR ONLINE READING ONLY
11, kinaonesha mfano wa nyumba hizo.
Kielelezo namba 11: Nyumba iliyojengwa kwa tope lenye udongo na
kinyesi cha wanyama
Zoezi namba 2
Chunguza picha za msonge katika kielelezo namba 5 hadi
11, kisha:
1. Eleza mfanano wa nyumba hizo.
2. Eleza tofauti ya nyumba hizo.
Kazi ya kufanya namba 11
Fanya uchunguzi kwa kusoma matini au kutembelea
maeneo yenye nyumba za msonge, kisha andika
faida za nyumba za msonge.
35
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 35
06/11/2024 11:29:45
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 35 06/11/2024 11:29:45