Page 44 - Historiayatznamaadili
P. 44
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 14: Nyumba ya tembe ya jamii za Wairaqw
iliyojengwa kwa miti na udongo chini na juu
Zoezi namba 3
1. Eleza tofauti zilizopo kati ya nyumba za tembe na zile
za msonge.
Nyumba za banda
Nyumba za banda zina umbo la mstatili na zilijengwa kwa miti
iliyokandikwa kwa udongo. Nyumba hizo ziliezekwa kwa miti na
nyasi. Kielelezo namba 15, kinaonesha mfano wa nyumba hizo.
Kielelezo namba 15: Nyumba ya banda
37
06/11/2024 11:29:47
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 37
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 37 06/11/2024 11:29:47