Page 25 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 25
Kazi ya kufanya namba 4
Shirikiana na wenzako kuimba Wimbo wa Taifa kwa sauti mbili
huku ukizingatia matamshi sahihi na toni, na ukisindikizwa na
ala za muziki utakazochagua.
FOR ONLINE READING ONLY
Zoezi
1. Eleza tofauti kati ya kuimba kwa sauti moja na sauti mbili.
2. “Asha anapenda kujua kwa nini waimbaji huzingatia matamshi
na toni” Mfafanulie umuhimu wa kuzingatia matamshi na toni
katika uimbaji.
Msamiati
Noti Alama za maandishi zinazotumika katika muziki
kuwakilisha sauti fulani.
Toni Sauti yenye kipimo maalumu na ubora.
18
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 18
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 18 19/10/2024 16:35