Page 31 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 31
Kazi ya kufanya namba 1
Chunguza kielelezo kifuatacho na kisha uchore picha njiti A hadi
F.
FOR ONLINE READING ONLY
A
B C
E
D F
Hatua za kuchora picha njiti ya umbo la kitanda
(i) Amua mwelekeo wa kitanda kama ni kulia, kushoto au
kuoneshwa kutoka mtazamo wa pembe;
(ii) Chora mistari ya ulalo;
(iii) Chora mistari ya wima ya mbele; na
(iv) Chora mistari ya wima ya nyuma upande wa chini, kama
inavyoonekana katika Kielelezo namba 3.
24
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 24
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 24 19/10/2024 16:35