Page 34 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 34
Kazi ya kufanya namba 5
Tumia penseli na karatasi kuchora picha zifuatazo:
(a) Mtu
FOR ONLINE READING ONLY
(b) Ng’ombe
(c) Kuku
Kazi ya kufanya namba 6
(a) Tumia penseli na karatasi kuchora picha ya chungwa,
meza, nyumba, ua na mti;
(b) Onesha picha hizo darasani kwa majadiliano;
(c) Tunza picha hizo kwa ajili ya maonesho ya sanaa shuleni.
Zoezi
1. Ni kanuni gani utazingatia katika uchoraji wa picha njiti?
2. Taja hatua utakazozifuata wakati unachora picha njiti ya
meza.
3. Taja hatua ambazo utazifuata kuchora picha ya umbo la
binadamu.
27
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 27
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 27 19/10/2024 16:35