Page 39 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 39
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Namba 7: Kusukuma udongo na kukata kitako
(d) Sukuma pindi kupata unene sawa kadiri ya kimo cha
umbo unalotarajia kulifanya, kama inavyoonekana katika
Kielelezo namba 8;
(e) Unganisha pindi hiyo kwenye kitako kisha zungushia
udongo juu ya mzunguko ulioambatana na kitako;
Kielelezo Namba 8: Kuunganisha kitako na pindi
(f) Tumia kidole gumba kuminya udongo kwenye
mzunguko wa pindi na kuunganisha katika kitako, kama
inavyoonekana katika Kielelezo namba 9;
32
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 32 19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 32