Page 43 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 43
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Namba 14: Kifani kilichowekwa nakshi
Kazi ya kufanya namba 2
(a) Finyanga kifani angalau kimoja kwa kutumia njia ya pindi;
(b) Onesha darasani kwa majadiliano, kisha;
(c) Tunza vizuri vifani ulivyofinyanga kwa ajili ya maonesho ya
sanaa shuleni.
Kufinyanga kwa njia ya bapa na pindi
Kufinyanga kwa njia ya bapa na pindi ni mbinu ya kuunda umbo la
kifani kwa kutumia mchanganyiko wa mbinu mbili ambazo ni bapa
na pindi. Hii, inajumuisha kuunda maumbo yenye mchanganyiko
wa sehemu bapa na zilizopinda.
36
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 36
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 36 19/10/2024 16:35