Page 40 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 40
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Namba 9: Kuimarisha kitako na mzunguko wa pindi
(g) Zungusha mzunguko mwingine wa pindi juu ya mzunguko
ulioambatana na kitako;
(h) Tumia kidole gumba kuminya udongo kutoka pindi ya juu
na kuunganisha katika pindi ya chini, kama inavyoonekana
katika Kielelezo namba 10;
Kielelezo Namba 10: Kuunganisha pindi kwa kuminya udongo
(i) Pindi moja ikikamilika, unganisha na pindi nyingine.
Endelea kutengeneza ukuta wa kifani mpaka upate urefu
unaohitajika, kama inavyoonekana katika Kielelezo namba
11;
33
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 33
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 33 19/10/2024 16:35