Page 45 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 45
Msamiati
Mcheduara Umbo lenye mwonekano wa mviringo mrefu kama
ule wa pipa
FOR ONLINE READING ONLY
Mchemstatili Umbo lenye mwonekano wa pande sita ambapo
urefu wake ni mkubwa zaidi kuliko upana
Mchemraba Umbo lenye mwonekano wa pande sita ambapo
pande zote ni sawa
38
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 38 19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 38