Page 50 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 50
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Na 5: Mwanafunzi akinyoosha kigimbi
5. Kunyoosha kiuno:
(a) Simama wima na weka mikono kiunoni;
(b) Taratibu zungusha kiuno kuanzia kulia, halafu kushoto,
kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 6; na
(c) Endelea kwa sekunde 10 hadi 15.
Kielelezo namba 6: Mwanafunzi akinyoosha kiuno
43
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 43
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 43 19/10/2024 16:35