Page 51 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 51
6. Kunyoosha mabega:
(a) Simama ukiwa umenyoosha mkono mmoja mbele;
(b) Tumia mkono mwingine kuvuta mkono ulionyooshwa taratibu
kuelekea kifuani, kama inavyoonekana katika Kielelezo
namba 7;
FOR ONLINE READING ONLY
(c) Shikilia kwa sekunde 10 hadi 15; na
(d) Badilisha mkono na urudie hatua hizo.
Kielelezo Na 7: Mwanafunzi akinyoosha mabega.
Kazi ya kufanya namba 1
Fanya mazoezi ya unyumbufu uliyojifunza
44
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 44
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 44 19/10/2024 16:35