Page 55 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 55
Zoezi la pili
1. Je, zoezi hili la kuweka puto hewani lina umuhimu gani
kwako?
2. Zoezi ulilofanya litakusaidia kucheza michezo gani?
FOR ONLINE READING ONLY
3. Taja vifaa vingine unavyoweza kutumia kama vikwazo badala
ya koni.
Msamiati
Kigimbi Ni misuli inayoanzia nyuma chini ya goti na kuendelea
hadi kufikia kisigino
Koni Kifaa cha plastiki chenye umbo la pia kinachotumika
kuweka mipaka kwenye mazoezi ya wachezaji wa mpira
Puto Kifuko laini cha mpira au plastiki kinachojazwa hewa na
kutumiwa kama pambo katika sherehe au kuchezewa na
watoto
48
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 48
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 48 19/10/2024 16:35