Page 54 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 54
9. Ongeza ugumu kwa kutumia maputo mawili kwa wakati mmoja
huku ukikwepa vikwazo, kama inavyoonekana katika Kielelezo
namba 10; na
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Na 10: Mwanafunzi akizuia maputo mawili yasianguke huku
akikwepa vikwazo.
Ikiwa mnacheza kwa kushindana, yeyote atakayeangusha puto,
kuruhusu litoke nje ya mipaka au kugonga kikwazo atatoka mchezoni
mpaka mshindi apatikane.
Kazi ya kufanya namba 2
Shindana na wenzako kuzuia puto lisianguke huku mkiongeza
vikwazo na kuzingatia muda ambao kila mmoja ataweza kuhimili
vikwazo
47
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 47
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 47 19/10/2024 16:35