Page 53 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 53
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Na 8: Mwanafunzi ndani ya eneo la kuchezea akizuia puto
lisianguke.
6. Endelea kuweka puto hewani huku ukizunguka ndani ya eneo la
kuchezea;
7. Baada ya muda wa dakika tano ongeza vikwazo kama vile koni,
ndani ya eneo la kuchezea;
8. Endelea kuweka puto hewani huku ukikwepa vikwazo vilivyopo,
kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 9;
Kielelezo Na 9: Mwanafunzi akizuia puto lisianguke huku akikwepa koni
46
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 46
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 46 19/10/2024 16:35