Page 48 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 48
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Na 2: Mwanafunzi akinyoosha sehemu za nyuma za mwili
kwa kugusa vidole vya miguu
2. Kunyoosha sehemu ya mbele ya paja:
(a) Simama kwa mguu mmoja na kunja mguu mwingine
kuelekea nyuma;
(b) Shika kifundo cha mguu ulioinua na kukivuta kuelekea
nyuma, kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 3;
(c) Shikilia kwa sekunde 10 hadi 15; na
(d) Badilisha miguu na kurudia hatua hizo.
Kielelezo Na 3: Mwanafunzi akinyoosha sehemu ya mbele ya paja kwa
kushikilia mguu mmoja kwa nyuma.
41
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 41
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 41 19/10/2024 16:35