Page 41 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 41
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Namba 11: Kuunganisha pindi na kupata umbo la kifani
(j) Sawazisha mdomo wa kifani mara kitakapokamilika,
kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 12;
Kielelezo Namba 12: Kusawazisha mdomo wa kifani
(k) Kadiria kimo cha kifani kiwe cha wastani unaofaa ili kuzuia
kubomoka kwa sababu ya ubichi wa udongo na uzito wa
sehemu ya juu. Ili kuepuka hali hiyo, acha kifani wazi kwa
muda mfupi ili kikauke kidogo kisha endelea kukikamilisha,
kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 13;
34
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 34
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 34 19/10/2024 16:35