Page 36 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 36
(iii) Ubao;
(iv) Kipande cha karatasi; na
(v) Kisukumio.
Hatua za kufinyanga kwa njia ya bapa
FOR ONLINE READING ONLY
(i) Chagua aina ya umbo unalotaka kufinyanga;
(ii) Weka udongo kwenye kibao kisha sukuma kama chapati
kwa kutumia kisukumio au kifaa kinachofanana kama
vile chupa;
(iii) Sukuma bapa lenye unene unaolingana, kama
inavyoonekana katika Kielelezo namba 2;
Kielelezo namba 2: Kuandaa udongo wa mfinyanzi kwa njia ya bapa
(iv) Kata vipande vya bapa kulingana na umbo ulilochagua,
kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 3;
Kielelezo namba 3: Kukata vipande vya udongo wa mfinyanzi
29
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 29
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 29 19/10/2024 16:35