Page 37 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 37
(v) Unganisha vipande hivyo kwa kutumia udongo wa
mfinyanzi, kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 4;
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 4: Kuunganisha vipande vya udongo wa mfinyanzi
(vi) Lainisha sehemu zilizoungwa ili zisiache uwazi; na
(vii) Weka umbo kivulini kwa muda mfupi ili likauke kiasi na
liwekee nakshi, kisha liweke tena kivulini hadi likauke
kabisa, kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 5.
Kielelezo namba 5: Kukausha kifani kilichofinyangwa kwa njia ya bapa
30
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 30 19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 30