Page 30 - SayansiStd4
P. 30
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 18: Maelezo ya kutumia dawa
Viambata vilivyotumika kutengeneza bidhaa
Bidhaa hutengenezwa na viambata vya aina tofauti. Ni muhimu
kuelewa viambata vilivyo katika bidhaa. Hii itasaidia kuepuka
madhara ya kiafya kama vile mzio. Kielelezo namba 19
kinaonesha mfano wa viambata katika sabuni.
Kielelezo namba 19: Viambata katika sabuni
Namna ya kuhifadhi vitu
Utunzaji bora wa vitu husaidia kutunza afya. Kuzingatia kanuni
na taarifa za utunzaji bora wa bidhaa ni muhimu ili kuepuka
23
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 23 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 23