Page 35 - SayansiStd4
P. 35
Msamiati
Balehe kipindi cha kukomaa kimwili kuelekea rika la
utu uzima
Kiribatumbo tumbo lililotutumuka na kuwa kubwa
FOR ONLINE READING ONLY
Kuchotora kutofaa kutumika kwa bidhaa kutokana na
muda wake wa matumizi kuisha
Seli chembe ndogo yenye uhai katika mwili wa
kiumbehai
Vimelea viumbehai wanaosababisha magonjwa
Virutubisho viini lishe kutoka kwenye vyakula
vinavyowezesha mwili kukua, kuwa na
nguvu kupata joto na kujilinda
Viuatilifu kemikali zinazotumika kuua, kuzuia au
kufukuza viumbe wanaosababisha madhara
kwa wanyama na mimea
28
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 28 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 28