Page 32 - SayansiStd4
P. 32
(a) husaidia kujua bei ya bidhaa
(b) Kulinda afya zetu
(c) kusababisha matatizo ya kiafya
(d) Kukuza umakini kuhusu mazingira
FOR ONLINE READING ONLY
2. Neno lipi kati ya yafuatayo linamaanisha ukomo wa ubora
wa bidhaa zilizohifadhiwa?
(a) kuoza
(b) kuchacha
(c) kuganda
(d) kuchotora
3. Mlo kamili ni mlo wenye________.
(a) virutubisho vinavyotupa nguvu
(b) matunda ya kutosha
(c) uwiano sahihi wa virutubisho
(d) vitamini za kutosha
4. Virutubisho vipi kati ya vifuatavyo huupa mwili nguvu?
(a) Protini
(b) Madini
(c) Vitamini
(d) Kabohaidreti
5. Matumizi ya vitu vilivyochotora husababisha ______.
(a) athari za kiafya
(b) kuboresha usalama
25
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 25
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 25 14/01/2025 18:39