Page 27 - SayansiStd4
P. 27
Alama za lazima au amri
Hizi ni alama zinazotoa maelekezo ya kufanya jambo katika
eneo husika. Alama hizi zinapatikana maeneo mbalimbali
kama vile maeneo ya kuhifadhia kemikali. Alama hizi zina rangi
FOR ONLINE READING ONLY
ya bluu. Umbo la alama hizi ni duara, picha nyeupe kwenye
msingi wa bluu. Kielelezo namba 16 kinaonesha mifano ya
alama za lazima au amri.
Vaa nguo zenye rangi
Vaa barakoa ya kuonekana kwa
urahisi
Sehemu ya kuoshea Kujikinga macho na
mikono uso
Kielelezo namba 16: Mifano ya alama za lazima au amri
Kazi ya kufanya namba 12
Bainisha maeneo muhimu katika mazingira ya shule
yanayohitaji kuwekewa alama za usalama. Kisha, katika
vikundi andaa alama hizo na mziweke katika maeneo husika.
20
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 20 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 20