Page 24 - SayansiStd4
P. 24
mbalimbali kama vile barabarani au shuleni. Pia, zinaweza
kuwekwa katika vitu kama vile vitunzia taka ili kuonesha mfano
wa taka hatarishi. Rangi ya alama za onyo ni njano. Zina umbo
la pembetatu, picha nyeusi yenye msingi wa njano na kingo
FOR ONLINE READING ONLY
nyeusi. Kielelezo namba 13 kinaonesha mifano ya alama za
onyo.
Sakafu inateleza Sumu
Nyanyua kwa uangalifu Hatari
Kielelezo namba 13: Mifano ya alama za onyo au tahadhari
Kazi ya kufanya namba 10
1. Tumia maktaba, matini mtandao au vyanzo vingine vya
taarifa kubaini alama mbalimbali za onyo na maana
zake.
2. Kati ya alama ulizozibainisha ni alama zipi za onyo au
tahadhari zinazopatikana katika mazingira yako?
17
14/01/2025 18:38
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 17
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 17 14/01/2025 18:38