Page 26 - SayansiStd4
P. 26

nyeupe kwenye msingi wa kijani au picha ya kijani kwenye
              msingi mweupe. Kielelezo namba 15 kinaonesha mifano ya
              alama za dharura.


          FOR ONLINE READING ONLY










                  Mlango wa kutokea wa                               Sehemu ya
                          dharura                                 kukusanyika kwa
                                                                       dharura















                      Kupiga simu ya                            Sehemu ya kuosha
                          dharura                                      macho

                          Kielelezo namba 15: Mifano ya alama za dharura




                Kazi ya kufanya namba 11


               1.  Tumia maktaba, matini mtandao  au vyanzo vingine
                     kutafuta taarifa kuhusu   alama mbalimbali za kukataza
                     na dharura na maana zake.


               2.  Kati  ya  alama ulizoziona, ni zipi zinapatikana katika
                     mazingira yako?









                                                   19




                                                                                            14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   19
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   19                                   14/01/2025   18:39
   21   22   23   24   25   26   27   28   29   30   31