Page 28 - SayansiStd4
P. 28
Zoezi namba 2
Oanisha alama katika sehemu A na kundi sahihi katika
sehemu B.
FOR ONLINE READING ONLY
Na. Sehemu A Sehemu B
1. (a) Katazo
2. (b) Tahadhari
3. (c) Dharura
4. (d) Amri
Taarifa muhimu katika kulinda afya zetu
Ni muhimu kuzingatia taarifa muhimu za matumizi ya vitu katika
maisha ya kila siku. Hii itasaidia kuepuka madhara ya kiafya.
Miongoni mwa taarifa muhimu za kuzingatia ili kulinda afya ni
21
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 21
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 21 14/01/2025 18:39