Page 33 - SayansiStd4
P. 33
(c) kuimarika utendaji wa mwili
(d) kuboresha uwezo wa bidhaa
Sehemu B: Andika KWELI kwa sentensi sahihi na SI KWELI
FOR ONLINE READING ONLY
kwa sentensi isiyo sahihi
6. Vyakula vyenye madini husaidia kujenga mwili.
7. Kazi kuu ya vyakula vyenye protini ni kulinda mwili
usipatwe na magonjwa.
8. Kufanya mazoezi ya mwili husaidia mwili kuwa imara na
kurekebisha uzito.
9. Alama za usalama zinaonesha tarehe ya kuchotora.
10. Alama za tahadhari zina umbo la pembetatu na rangi ya
njano.
Sehemu C: Maswali ya majibu mafupi
11. Eleza umuhimu wa alama mbalimbali za usalama katika
mazingira.
12. Fafanua michezo mitatu yoyote muhimu kwa afya ya
mwili.
13. Jaza nafasi zilizoachwa wazi katika Jedwali kwa kuandika
maana ya alama (a-d).
26
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 26
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 26 14/01/2025 18:39