Page 31 - SayansiStd4
P. 31
madhara yanayoweza kujitokeza. Taarifa za utunzaji wa vitu
huwekwa kwa namna mbalimbali mfano katika vifungashio.
Kielelezo namba 20 kinaonesha maelezo ya namna ya kuhifadhi
unga.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 20: Namna ya kuhifadhi unga
Kazi ya kufanya namba 13
Chunguza taarifa muhimu zilizopo katika bidhaa mbalimbali
zinazopatikana nyumbani au shuleni na bainisha mambo
yafuatayo:
(a) Muda wa matumizi;
(b) Viambata vilivyomo katika bidhaa hizo;
(c) Namna ya matumizi; na
(d) Namna ya kuhifadhi.
Zoezi la marudio
Sehemu A: Chagua jibu lililo sahihi
1. Kuna faida gani ya kuchunguza taarifa kwenye bidhaa za
chakula?
24
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 24
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 24 14/01/2025 18:39