Page 69 - SayansiStd4
P. 69
(a) ugiligili
(b) mvuke
(c) barafu
FOR ONLINE READING ONLY
(d) gesi
2. Hali ya maada ambayo ina ujazo na umbo maalumu
huitwa _____.
(a) yabisi
(b) kimiminika
(c) plasma
(d) gesi
3. Maji yanaweza kuwa katika hali tatu za maada ambazo
ni _____.
(a) yabisi, gesi na jiwe
(b) yabisi, barafu na gesi
(c) jiwe, hewa na barafu
(d) yabisi, kimiminika na gesi
4. Kiwango cha jotoridi la nyuzijoto sentigredi 100 au
nyuzijoto farenhaiti 212 katika tabia ya maji huitwa
_____.
(a) kizingiti cha mgando wa maji
(b) kizingiti cha mchemko wa maji
(c) kizingiti cha myeyuko wa maji
(d) kizingiti cha mvuke wa maji
62
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 62 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 62