Page 79 - SayansiStd4
P. 79
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 2: Shughuli za mapishi
(b) Kwa shughuli mbalimbali za viwandani ikiwemo uyeyushaji
wa chuma na kutengeneza bidhaa kama vile nondo na
plastiki. Moto pia hutumika katika usafishaji wa dhahabu;
(c) Husaidia katika kukausha na uhifadhi wa vyakula au
mazao; na
(d) Hutusaidia kupata joto katika mazingira yenye baridi.
Mfano, kuota moto wakati wa baridi. Kielelezo namba 3
kinaonesha mtu akiota moto.
Kielelezo namba 3: Mtu akiota moto
72
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 72
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 72 14/01/2025 18:39