Page 83 - SayansiStd4
P. 83
6. Inashauriwa kupunguza ama kuacha matumizi ya kuni
kwa kuwa yanapelekea uharibifu wa mazingira.
7. Kitambaa kilicholowa kinaweza kutumika kushikia vifaa
FOR ONLINE READING ONLY
vya moto.
Sehemu C: Maswali ya majibu mafupi
8. Eleza maana ya kuungua kwa vitu.
9. Eleza mahitaji muhimu ili uunguaji uweze kutokea.
10. Eleza kwa ufupi faida na hasara zinazoweza
kusababishwa na kuungua kwa vitu.
11. Eleza kwa ufupi jinsi uunguaji wa vitu unavyoweza
kuchafua mazingira.
12. Nini maana ya uunguaji kamili?
13. Eleza kigezo kinachotumika ili kupata uunguaji usio
kamili.
14. Eleza njia za kiusalama zinazoweza kutumika wakati wa
matumizi ya jiko la mkaa.
Msamiati
Angavu hali ya kupenyesha mwanga
Fueli vitu vinavyoweza kuungua
Viwanda mahali bidhaa zinapotengenezwa
76
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 76 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 76