Page 82 - SayansiStd4
P. 82

(a)  Mchakato wa vitu kuganda


                     (b)  Mchakato wa vitu kuharibika

                     (c)  Mchakato wa vitu kubadilika na kuwa majimaji
          FOR ONLINE READING ONLY
                     (d)  Mchakato wa fueli kuungana na gesi ya oksijeni na
                          kutoa joto na mwanga


               2.  Nini kinachohitajika ili uunguaji utokee?
                     (a)  Oksijeni, maji, na mwanga


                     (b)  Mafuta, maji, na oksijeni

                     (c)  Fueli, joto, na oksijeni

                     (d)  Maji, joto, na oksijeni

               3.  Nini  kazi ya oksijeni  katika mchakato  wa uunguaji  wa
                     vitu?

                     (a)  Kutoa joto

                     (b)  Kuzuia moto

                     (c)  Kuchochea moto kuwaka

                     (d)  Kubadilisha moto kuwa maji


               4.  Nini hutokea wakati wa uunguaji wa vitu?

                     (a)  Vitu hubadilika kuwa baridi

                     (b)  Vitu hupoteza tabia yake asilia

                     (c)  Vitu vinatoa nishati ya baridi

                     (d)  Vitu vinabaki kama vilivyo

               Sehemu B:  Andika KWELI kwa sentensi sahihi, na SI KWELI

                               kwa sentensi isiyo sahihi.

               5.  Uunguaji wa vitu huweza kutusaidia kupiga pasi nguo

                     zetu.


                                                   75




                                                                                            14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   75                                   14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   75
   77   78   79   80   81   82   83   84   85   86   87