Page 93 - SayansiStd4
P. 93
(e) Mnururisho ni usafirishaji wa nishati ya joto kwenye
nafasi tupu kama vile hewa. Katika Jaribio namba 3,
hewa imetumika kama sehemu tupu kwa sababu ina
sifa inayokaribiana na sehemu tupu. Kielelezo namba 5
FOR ONLINE READING ONLY
kinaonesha aina tatu za usafirishaji wa nishati ya joto.
Kielelezo namba 5: Aina tatu za usafirishaji wa nishati ya joto
Matumizi ya nishati ya joto
Joto hutumika katika mambo mbalimbali kama inavyooneshwa
kwenye Jedwali namba 2.
Jedwali namba 2: Matumizi ya nishati ya joto
Picha Maelezo
Kuota moto ili kujihifadhi dhidi
ya baridi.
86
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 86
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 86 14/01/2025 18:39