Page 90 - SayansiStd4
P. 90
6. Je, kumetokea nini kwenye vipande vya karatasi na
jotoridi katika maji?
7. Andika matokeo kama inavyooneshwa kwenye Jedwali
FOR ONLINE READING ONLY
namba 1.
Jedwali namba 1: Jotoridi katika vimiminika
Kiasi cha
Vipande vya
Na Muda(dk) Jotoridi Matokeo
karatasi
(sentigredi)
Kabla ya
1. 5
kuwasha jiko
Baada ya
2. 10
kuwasha jiko
(a) (b)
Kielelezo namba 3: Kusafiri kwa joto katika vimiminika
Matokeo
Maji yalipowekwa katika sufuria yenye vipande vya karatasi
na kuachwa kwa dakika tano, vipande vya karatasi vilibakia
chini. Hii inaonesha kuwa maji hayakupanda juu na jotoridi
halikubadilika.
83
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 83 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 83