Page 18 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 18

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari


           Majibu
           Majibu ya shughuli ya 2.8 yatatokana  na uelewa wa mwanafunzi.
           Katika shughuli hii, mwanafunzi atumie  mifano kubainisha sifa za
           fasihi andishi na tanzu zake.
           FOR ONLINE READING ONLY

           Shughuli ya 2.9
           Hatua za ufundishaji

             (i)   Waelekeze  wanafunzi  kukaa  katika  vikundi  kisha  kutumia
                  vyanzo vya mtandaoni au maktabani  kufanya shughuli ya
                  2.9 iliyomo kwenye Kitabu cha Mwanafunzi. Hakikisha kila
                  mwanafunzi anashiriki kikamilifu.

             (ii)  Waongoze wanafunzi kufanya uwasilishaji. Chagua wanafunzi
                  wachache kuwasilisha kazi waliyoijadili katika vikundi vyao.
                  Hakikisha kila mwanafunzi anashiriki kikamilifu.
                  Majibu


                  Majibu ya shughuli ya 2.9 yatatokana na uelewa wa mwanafunzi.
                  Katika shughuli hii, mwanafunzi aeleze kwa mifano dhana na
                  chimbuko la ushairi wa Kiswahili.

             (iii)  Mwongoze mwanafunzi kufanya zoezi la 2.2 lililomo kwenye
                  Kitabu cha Mwanafunzi.  Sahihisha na toa mrejesho  wa kazi
                  waliyoifanya.

           Majibu

           Majibu ya zoezi la 2.2 yatatokana na uelewa wa mwanafunzi katika
           kuhusiana na maswali husika. Mwanafunzi ashadadie hoja zake kwa
           mifano dhahiri.









             12                                        Kiongozi cha Mwalimu
                                                          Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   12    23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   12
   13   14   15   16   17   18   19   20   21   22   23