Page 21 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 21

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari


                  iliyomo  kwenye  Kitabu  cha  Mwanafunzi,  kisha  wawasilishe
                  darasani.  Hakikisha  kila  mwanafunzi  anashiriki  kikamilifu.
                  Sahihisha makosa yanayojitokeza wakati wa uwasilishaji.
           Majibu
           FOR ONLINE READING ONLY
           Majibu  ya  shughuli  ya  2.14  yatatokana  na  uelewa  wa  mwanafunzi.
           Katika shughuli hii, mwanafunzi afafanue dhana na aina za riwaya.

           Shughuli ya 2.15

           Hatua za ufundishaji

             (i)   Waongoze wanafunzi kukaa katika jozi na kufanya shughuli
                  ya 2.15 iliyomo kwenye Kitabu cha Mwanafunzi. Hakikisha
                  kila mwanafunzi anashiriki kikamilifu  kutoa mawazo yake
                  kuhusiana na shughuli husika na kuchukua nukuu. Kusanya
                  kazi zao, sahihisha na rekebisha dosari zinazojitokeza  kwa
                  kutoa mrejesho kwa wakati.

           Majibu

           Majibu  ya  shughuli  ya  2.15  yatatokana  na  uelewa  wa  mwanafunzi.
           Katika shughuli hii, mwanafunzi aeleze kwa mifano tofauti zilizopo
           kati ya riwaya na hadithi fupi.


             (i)   Waelekeze  wanafunzi  kukaa katika  vikundi vya wanafunzi
                  wasiopungua  watano  watano  (5) kisha  kufanya  zoezi  la  2.3
                  lililomo kwenye Kitabu cha Mwanafunzi, sahihisha na kutoa
                  mrejesho wa zoezi hilo.

           Majibu

           Majibu ya zoezi la 2.3 yatatokana  na uelewa wa mwanafunzi.
           Mwanafunzi atumie mifano kushadidia hoja zake.







                 Kiongozi cha Mwalimu                                    15
                    Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   15    23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   15
   16   17   18   19   20   21   22   23   24   25   26