Page 25 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 25
Fasihi ya Kiswahili Shule za Sekondari
(iii) Waelekeze wanafunzi kufanya maswali ya tamrini yaliyomo
kwenye Kitabu cha Mwanafunzi. Sahihisha kazi zao na toa
mrejesho.
Majibu
FOR ONLINE READING ONLY
Majibu ya shughuli ya 2.20 yatatokana na uelewa wa mwanafunzi.
Katika shughuli hii, mwanafunzi aeleze mchango wa fasihi simulizi na
fasihi andishi katika maendeleo ya jamii. Pia, mwanafunzi abainishe
uhusiano uliopo kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi.
Kiongozi cha Mwalimu 19
Kidato cha Tano
23/06/2024 17:48
FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd 19 23/06/2024 17:48
FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd 19