Page 30 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 30

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari


           kawaida kwa kuchunguza mifano na uelezwaji wa hoja kwa kila swali.
           Pia, hakikisha mwanafunzi anazingatia mahitaji ya kila swali.



             Somo la 4: Nadharia za uhakiki wa kazi za fasihi
           FOR ONLINE READING ONLY

           Shughuli ya 3.4

           Hatua za ufundishaji

             (i)   Waongoze wanafunzi kubungua bongo kuhusu maana na sifa za
                  nadharia za uhakiki, kisha wajibu maswali hayo.
             (ii)  Waongoze  wanafunzi  kukaa  katika  vikundi,  kisha  watumie
                  vyanzo vya mtandaoni na maktabani kujadili shughuli ya 3.4
                  iliyomo kwenye Kitabu cha Mwanafunzi.

             (iii)  Waongoze wanafunzi  kuwasilisha waliyoyajadili,  kisha
                  hitimisha kwa kuwapa maelezo sahihi kuhusiana na nadharia za
                  uhakiki wa kazi za fasihi. Hakikisha kila mwanafunzi anashiriki
                  kikamilifu.

             (iv)  Unashauriwa kukazia maarifa kwa sababu uhakiki wa kutumia
                  nadharia haujazoeleka sana kama ule wa uchambuzi wa fani na
                  maudhui.

           Majibu

           Majibu ya shughuli ya 3.4 yatatokana  na uelewa wa mwanafunzi.
           Katika shughuli hii, mwanafunzi aeleze maana, sifa na umuhimu wa
           nadharia za uhakiki wa kazi za fasihi. Hakikisha mwanafunzi anaeleza
           bayana vipengele hivyo.












             24                                        Kiongozi cha Mwalimu
                                                          Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   24
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   24    23/06/2024   17:48
   25   26   27   28   29   30   31   32   33   34   35