Page 33 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 33

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari


           Shughuli ya 3.9
           Hatua za ufundishaji

             (ii)  Waongoze wanafunzi kukaa katika vikundi na kujadili shughuli
           FOR ONLINE READING ONLY
                  ya 3.9 iliyomo kwenye Kitabu cha Mwanafunzi, kisha kufanya
                  uwasilishaji, hakikisha kila mwanafunzi anashiriki katika
                  uwasilishaji.  Rekebisha  upungufu unaojitokeza  wakati  wa
                  uwasilishaji.

           Majibu

           Majibu ya shughuli ya 3.9 yatatokana  na uelewa wa mwanafunzi.
           Katika shughuli hii, mwanafunzi aeleze maana na misingi ya nadharia
           ya uhalisia katika kuhakiki kazi za kifasihi.


           Shughuli ya 3.10

           Hatua za ufundishaji

             (i)   Waongoze wanafunzi kukaa katika vikundi na kujadili shughuli
                  ya 3.10 iliyomo kwenye Kitabu cha Mwanafunzi, kisha
                  kufanya  uwasilishaji,  hakikisha  kila  mwanafunzi  anashiriki
                  katika uwasilishaji. Rekebisha upungufu unaojitokeza wakati
                  wa uwasilishaji.

           Majibu

           Majibu  ya  shughuli  ya  3.10  yatatokana  na  uelewa  wa  mwanafunzi.
           Katika shughuli hii, mwanafunzi aeleze maana na misingi ya nadharia
           ya mwitiko wa msomaji  katika kuhakiki kazi za kifasihi.

           Shughuli ya 3.11

           Hatua za ufundishaji

             (i)   Kukaa katika vikundi na kujadili shughuli ya 3.11 iliyomo
                  kwenye  Kitabu  cha  Mwanafunzi  kisha  kufanya  uwasilishaji,



                 Kiongozi cha Mwalimu                                    27
                    Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   27    23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   27
   28   29   30   31   32   33   34   35   36   37   38