Page 58 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 58

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari


                  wakati wa uwasilishaji.  Hakikisha wanafunzi wanachukua
                  nukuu wakati wa uwasilishaji.

           Majibu
           FOR ONLINE READING ONLY
           Majibu ya shughuli ya 4.17(a) yatatokana na uelewa wa mwanafunzi.
           Katika shughuli 4.17(a), mwanafunzi atachambua athari za kiimani
           na mitazamo katika matini fupi ya tamthiliya iliyotolewa.


           Shughuli ya 4.17(b)

           Hatua za ufundishaji

              (i)  Waongoze wanafunzi kukaa katika vikundi na kujadili shughuli
                  ya 4.17 (b), kisha kuwasilisha darasani kwa majadiliano zaidi,
                  huku ukiboresha upungufu unaojitokeza wakati wa uwasilishaji.

              (ii) Hitimisha kwa kutoa maelezo ya jumla kuhusiana na shughuli

                  husika.

                  Majibu

                  Majibu ya shughuli ya 4.17(b) yatatokana  na uelewa wa
                  mwanafunzi.  Katika shughuli hii,  mwanafunzi  atachambua

                  athari za kiimani na kimtazamo zilizomo katika tamthiliya
                  teule.


              (iii) Waelekeze wanafunzi kukaa katika vikundi kufanya maswali ya
                 tamrini yaliyomo kwenye Kitabu cha Mwanafunzi. Sahihisha na
                 toa mrejesho kwa wakati.

           Majibu

           Majibu ya maswali ya tamrini yatatokana na uelewa wa mwanafunzi na
           mahitaji ya swali husika.


             52                                        Kiongozi cha Mwalimu
                                                          Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   52
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   52    23/06/2024   17:48
   53   54   55   56   57   58   59   60   61   62   63