Page 59 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 59

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari





               Sura ya

                Tano                 Ujumi katika kazi za fasihi
           FOR ONLINE READING ONLY





                         Utangulizi

            Katika sura hii, mwanafunzi atajifunza kuhusu ujumi unavyojitokeza
            katika fasihi simulizi na fasihi andishi. Pia, atajifunza kueleza na
            kuchambua mbinu zilizotumika kiujumi katika majigambo, mashairi
            na  tamthiliya  teule.  Aidha,  atajifunza  jinsi  mbinu  za kifasihi
            zinavyodhihirika  katika  kujenga  maana katika  insha  za kifasihi,
            mashairi na tamthiliya.  Kadhalika,  atajifunza  namna  ya  kutumia
            fasihi katika  kujenga  hoja zenye mantiki  na ushawishi. Mwalimu
            utapata mbinu zitakazokuwezesha katika ujenzi wa umahiri huu kwa
            mwanafunzi.







                             Shughuli za kutendwa na mwanafunzi



               (a)  Kueleza vigezo vya ujenzi wa ujumi katika kazi za kifasihi;

               (b)  Kufafanua mbinu zilizotumika kujenga ujumi katika kazi za
                    kifasihi;

               (c)  Kueleza maana zinazopatikana katika matini za fasihi;

               (d)  Kuchambua mbinu za kifasihi zinavyoathiri kupatikana kwa
                    maana katika kazi za kifasihi;

               (e)  Misingi ya ujenzi wa hoja zenye mantiki na ushawishi;


                 Kiongozi cha Mwalimu                                    53
                    Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   53    23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   53
   54   55   56   57   58   59   60   61   62   63   64