Page 61 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 61

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari


                  kila mwanafunzi anatoa mawazo yake wakati wa majadiliano.
                  Rekebisha dosari zinazojitokeza.

             (ii)  Waongoze  wanafunzi  kuandaa  uwasilishaji  wa uchambuzi
                  wa maudhui, kisha chagua baadhi ya vikundi ili kuwakilisha
           FOR ONLINE READING ONLY
                  wenzao. Hakikisha kila mwanafunzi anashiriki kwa kutoa
                  mchango  au  kuuliza  maswali  ili  kuchochea  majadiliano.
                  Sahihisha upungufu unaojitokeza katika uwasilishaji, kisha toa
                  mrejesho wa shughuli husika.
           Majibu

           Majibu ya shughuli ya 5.2 (a) yatategemea uelewa wa mwanafunzi.
           Mwanafunzi  anapojibu,  ajikite  katika  kutumia  misingi  ya ujenzi  wa
           ujumi aliyosoma darasani ili kuchambua shairi hilo.

           Shughuli ya 5.2 (b)

           Hatua za ufundishaji

             (i)   Waongoze wanafunzi kusoma au kughani shairi lililomo katika
                  shughuli ya 5.2 (b) iliyomo kwenye Kitabu cha Mwanafunzi.

             (ii)  Waongoze  wanafunzi  kuchambua  shairi  hilo  kwa kutumia
                  misingi ya ujumi. Ongoza mjadala huku ukirebisha upungufu
                  unaojitokeza.

           Majibu
           Majibu ya shughuli ya 5. 2 (b) yatatokana na uelewa wa mwanafunzi.
           Katika  shughuli  hii,  mwanafunzi  atachambua  shairi  kwa  kuzingatia
           misingi ya ujumi wakati kuhakiki shairi hilo.

           Shughuli ya 5.2 (c)

           Hatua za ufundishaji
             (i)   Waongoze     wanafunzi    kusoma     diwani    teule  kama
                  inavyoelekezwa  katika  shughuli ya 5.2 (c) iliyomo kwenye
                  Kitabu cha Mwanafunzi.


                 Kiongozi cha Mwalimu                                    55
                    Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   55    23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   55
   56   57   58   59   60   61   62   63   64   65   66