Page 67 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 67

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari


           Shughuli ya 5.7 (a)
           Hatua za ufundishaji

             (i)   Waongoze wanafunzi kufanya shughuli ya 5.7 (a) iliyomo
           FOR ONLINE READING ONLY
                  kwenye Kitabu cha Mwanafunzi.
             (ii)  Waelekeze wanafunzi kukaa katika vikundi vya watu wasiozidi
                  wanne kujadili shughuli ya 5.7 (a) iliyomo kwenye Kitabu cha
                  Mwanafunzi. Kisha, wajibu maswali yanayotokana na matini
                  fupi ya tamthiliya ili kupata maana mbalimbali. Hakikisha kila
                  mwanafunzi anashiriki. Rekebisha dosari pale zitapojitokeza.

             (iii)  Waongoze wanafunzi kuwasilisha uchambuzi wa mashairi
                  teule,  kisha  chagua  vikundi  vichache  kuwasilisha  kwa niaba
                  ya vingine. Hakikisha kila mwanafunzi anashiriki kwa kutoa
                  mchango au kuuliza maswali. Sahihisha upungufu unaojitokeza.

           Majibu

           Majibu ya shughuli ya 5.7 (a) yatategemea uelewa wa mwanafunzi.
           Katika shughuli hii, mwanafunzi atachambua maana mbalimbali kutoka
           katika kipande cha tamthiliya.

           Shughuli ya 5.7(b)

           Hatua za ufundishaji

             (i)   Waongoze wanafunzi kuchambua tamthiliya  mbili teule.
                  Hakikisha kila mwanafunzi anashiriki  kikamilifu katika
                  uchambuzi na kuandika tini.

             (ii)  Waelekeze  wanafunzi  kukusanya  na  kusahihisha  kazi  za
                  wanafunzi ili kuondoa upungufu unaojitokeza.

           Majibu

           Majibu ya shughuli ya 5.7 (b) yatategemea  uelewa wa mwanafunzi
           na  tamthiliya teule  atakayoichambua.  Katika  kuchambua  maana,
           mwanafunzi atumie mifano kutoka katika tamthiliya husika.


                 Kiongozi cha Mwalimu                                    61
                    Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   61    23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   61
   62   63   64   65   66   67   68   69   70   71   72