Page 69 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 69

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari


             (ii)  Waelekeze  wanafunzi  kukusanya  na  kusahihisha  kazi  za
                  wanafunzi ili kuondoa upungufu unaojitokeza.

           Majibu

           FOR ONLINE READING ONLY
           Majibu ya shughuli ya 5.8 (b) yatategemea uelewa wa mwanafunzi na
           shairi atakalolichambua kutoka katika diwani teule. Katika uchambuzi,
           mwanafunzi  aoneshe namna mbinu za kifasihi  zinavyochangia  au
           kutatiza  kupatikana  kwa maana kwa kutumia mifano kutoka katika
           shairi husika.

           Shughuli ya 5.9

           Hatua za ufundishaji

             (i)   Waongoze wanafunzi kufanya shughuli ya 5.9 iliyomo kwenye
                  Kitabu cha Mwanafunzi.

             (ii)  Waelekeze wanafunzi kukaa katika vikundi na kujadili shughuli
                  ya 5.9 iliyomo  kwenye Kitabu cha Mwanafunzi. Hakikisha
                  kila  mwanafunzi anashiriki  kikamilifu.  Rekebisha dosari
                  zinazojitokeza.

             (iii)  Waongoze  wanafunzi  kuwasilisha,  chagua  vikundi  vichache
                  kuwasilisha  kazi  yao  kwa niaba  ya  wengine.  Hakikisha  kila
                  mwanafunzi anashiriki kwa kutoa mchango au kuuliza maswali
                  ili kuendeleza mjadala. Sahihisha upungufu unaojitokeza katika
                  uwasilishaji, kisha toa mrejesho wa shughuli husika.

           Majibu
           Majibu ya shughuli ya 5.9 yatategemea  uelewa wa mwanafunzi.
           Katika shughuli hii, mwanafunzi atachambua namna mbinu za kifasihi
           zinavyoathiri maana mbalimbali kutoka katika kipande cha tamthiliya.









                 Kiongozi cha Mwalimu                                    63
                    Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   63    23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   63
   64   65   66   67   68   69   70   71   72   73   74