Page 75 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 75

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari


                  Majibu
                  Majibu ya shughuli ya 5.14 yatategemea uelewa wa mwanafunzi
                  kwa kuzingatia mada aliyoichagua. Katika utunzi wa malumbano
                  hayo, mwanafunzi aoneshe namna anavyowasilisha hoja zenye
           FOR ONLINE READING ONLY
                  mantiki na ushawishi.

             (iv)  Kufanya maswali  ya tamrini  yaliyomo  kwenye Kitabu  cha
                  Mwanafunzi kisha, sahihisha na kuondoa makosa yanayoweza
                  kujitokeza.

                   Majibu

                   Majibu ya tamrini yatategemeana na uelewa wa mwanafunzi.
                   Pia, unaweza kupima  namna  mwanafunzi  anavyoweza
                   kuhawilisha maarifa na mazingira ya maisha halisi.






































                 Kiongozi cha Mwalimu                                    69
                    Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   69    23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   69
   70   71   72   73   74   75   76   77   78   79   80