Page 80 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 80
Fasihi ya Kiswahili Shule za Sekondari
kwenye mtandao ya kijamii hutegemea aina ya mtandao wa kijamii
atakaoutumia mwanafunzi. Zifuatazo ni hatua za jumla ambazo
zinaweza kufuatwa na mtumiaji wa mtandao wowote :
• Kuwa na kifaa za kinachoweza kupokea programu za kimtandao
FOR ONLINE READING ONLY
wa kijamii;
• Kuunganisha vifaa hivyo na kifurushi cha data;
• Kupakua na kusakinisha programu ya mtandao wa kijamii
utakaoutumia katika kifaa kama vile simu, kishikwambi na
kompyuta;
• Kuandaa kazi katika nakala tepe au sauti au video;
• Chapisha kwenye mtandao wa kijamii; na
• Kuendelea kufuatilia maoni ya hadhira wasikilizaji watazamaji
na wasomaji wa kazi husika ya kifasihi.
Shughuli ya 6.4
Hatua za ufundishaji
(i) Waongoze wanafunzi kufanya shughuli ya 6.4 iliyomo kwenye
Kitabu cha Mwanafunzi, kisha kila mwanafunzi atumie
TEHAMA kusoma na kuandika kwenye daftari na kukusanya.
(ii) Rekebisha upungufu unaojitokeza kwenye kazi wanazozifanya
wanafunzi.
Majibu
Majibu ya shughuli ya 6.4 yatatokana uelewa wa mwanafunzi na yale
yaliyomo kwenye Kitabu cha Mwanafunzi.
74 Kiongozi cha Mwalimu
Kidato cha Tano
23/06/2024 17:48
FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd 74
FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd 74 23/06/2024 17:48