Page 81 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 81

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari


             (i)   Waelekeze  wanafunzi kufanya zoezi la 6.2 lililomo kwenye
                  Kitabu cha Mwanafunzi, kisha sahihisha na utoe mrejesho.



             Somo la 4: Hatua za utunzi wa kazi za kifasihi
           FOR ONLINE READING ONLY
           Shughuli ya 6.5

           Hatua za ufundishaji

             (i)   Waongoze wanafunzi kufanya shughuli ya 6.5 iliyomo kwenye
                  Kitabu cha Mwanafunzi.

             (ii)  Waelekeze  wanafunzi  kupakua, kusoma na kueleza  hatua  za
                  utunzi wa kazi za fasihi. Waulize maswali wanafunzi kupima
                  uelewa wao kuhusu hatua hizo.

             (iii)  Waelekeze wanafunzi kukaa katika vikundi na kujadili hatua za
                  utunzi wa kazi za fasihi, hakikisha kila mwanafunzi anashiriki
                  katika kutoa mawazo yake. Aidha, kutoka katika kila kikundi,
                  chagua mwakilishi awasilishe kazi yao na wanafunzi wengine
                  washiriki kuchangia hoja na kuuliza maswali. Rekebisha dosari
                  zinazojitokeza katika majadiliano na uwasilishaji.

           Majibu

           Majibu ya shughuli ya 6.5 yanaweza kuwa yale yaliyopo kwenye Kitabu
           cha Mwanafunzi pamoja na yanayotokana na uelewa wa mwanafunzi.

           Shughuli ya 6.6

           Hatua za ufundishaji

             (i)   Waongoze wanafunzi kwa njia ya maswali na majibu kuibua
                  umuhimu wa kuzingatia hatua za utunzi.

             (ii)  Waongoze wanafunzi kukaa katika vikundi na kujadili
                  shughuli ya 6.6 iliyomo kwenye Kitabu cha Mwanafunzi, kisha
                  kuwasilisha kwa ajili ya majadiliano zaidi.

                 Kiongozi cha Mwalimu                                    75
                    Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   75    23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   75
   76   77   78   79   80   81   82   83   84   85   86