Page 100 - Fasihi_Kisw_F5
P. 100
Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari
Zoezi la 3.3
1. “Katika kuhakiki kazi za kifasihi, mhakiki hujiegemeza katika vipengele
FOR ONLINE READING ONLY
mbalimbali vya nadharia”. Jadili kauli hii kwa kutumia mifano ya
nadharia mbili unazozipenda.
2. Jadili namna vipengele vya kifani katika shairi vinavyotofautiana na
vipengele vya kifani katika tamthiliya.
3. Jadili vipengele vya maudhui vinavyopatikana katika mashairi mawili
kutoka diwani teule ulizosoma.
Tamrini
1. Kwa kutumia mifano, tofautisha dhana zifuatazo:
(a) fani na maudhui
(b) nadharia na uhakiki
(c) mtindo na muundo
(d) tamathali za usemi na mbinu nyingine za kisanaa
2. Fafanua kwa kina nadharia zifuatazo ukizingatia maana, misingi na
matumizi yake katika uchambuzi wa kazi za kifasihi:
(a) uhalisia
(b) umuundo
(c) mwingilianomatini
(d) umaksi
(e) mwitiko wa msomaji
(f) ufeministi
Kitabu cha Mwanafunzi 89
Kidato cha Tano
23/06/2024 17:54
FASIHI YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO.indd 89 23/06/2024 17:54
FASIHI YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO.indd 89