Page 170 - Fasihi_Kisw_F5
P. 170
Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari
(vi) Mkulima shujaa
(vii) Marafiki
(viii) Haki za watoto
FOR ONLINE READING ONLY
(ix) Ndoto ya ajabu
Tamrini
1. Tofautisha kazi za kifasihi na zisizo za kifasihi.
2. Kwa kutumia mifano, fafanua miktadha inayoweza kuchochea uandishi
wa kazi za kifasihi.
3. Jadili dai kwamba uandishi wa kazi za fasihi hauna faida yoyote
4. “TEHAMA haina mchango wowote katika kupata fursa za uandishi wa
kazi za fasihi.” Jadili.
5. Kwa kutumia mifano, eleza kanuni za utunzi wa maigizo.
6. Fafanua hatua za kuzingatia wakati wa uandishi wa mashairi
7. Tunga mashairi mawili ya kimapokeo na mawili ya kisasa.
8. Buni mada mbili unazozipenda kisha andika hadithi za watoto kwa
kuzingatia umri na kanuni za uandishi.
9. Chagua maada mojawapo mtambuka kati ya hizi zifuatazo, kisha tunga
shairi kwa kuzingatia kanuni za utunzi.
(c) ndoa za utotoni
(d) mimba za utotoni
(e) rushwa
(f) muungano
(g) haki za watoto
(h) dawa za kulevya
Kazimradi
Chagua mada yoyote ya kifasihi kisha andaa kazimradi na andika ripoti.
Kitabu cha Mwanafunzi 159
Kidato cha Tano
23/06/2024 17:54
FASIHI YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO.indd 159 23/06/2024 17:54
FASIHI YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO.indd 159