Page 31 - Fasihi_Kisw_F5
P. 31
Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari
mstari wa mwisho, huitwa bahari. Ufuatao ni mfano wa beti za Utendi wa Fumo
Liyongo ambao unatokana na utendi simulizi:
Niweleze kwa utungo,
FOR ONLINE READING ONLY
Hadithi yake Liyongo,
Niweleze na mazingo,
Mambo yalomzingiya.
Liyongo kitamakali,
Akabarighi rijali,
Akawa mtu wa kweli,
Na haiba kaongeya.
Kimo kawa mtukufu,
Mpana sana mrefu,
Majimboni yu marufu,
Watu huya kwangaliya.
Ni mwanamume swahihi,
Kama simba unazihi,
Usiku na asubuhi,
Kutembea ni mamoya.
Kisa katiti kutuwa,
Mkobani akatowa,
Zitu alizotukuwa,
Nyumba ndima nisikiya.
Katowa kinu na mti,
Na jiwe na kupaza kuti,
Na zunguze si katiti,
Na mawe ya kupikiya.
Tenzi Tatu za Kale [Kijumwa, katika Mulokozi (Mh) (2009)]
20 Kitabu cha Mwanafunzi
Kidato cha Tano
23/06/2024 17:54
FASIHI YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO.indd 20 23/06/2024 17:54
FASIHI YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO.indd 20